Advertisement
JAMES MSASA JAMES MSASA
shared this 2 article 6 years ago
Topics: Markets/Pricing, Agriculture Global,

*TANZANIA YOUTH AGRO-EXCELLENCE AWARDS* Ubalozi wa uholanzi kwa kushilikiana na kampuni ya Transcend wameandaa shindano la kilimo kwa ajili ya vijana(Youth Agro Awards) wenye umri wa miaka 15-35 wanaojishughulisha na: *1. Kilimo cha viazi mviringo* . 2. *Kilimo cha mbogamboga* *na matunda.* *3.Ufugaji wa kuku.* Washindi kutoka katika kila makundi hayo juu matatu watapata 1.Pesa taslimu kwa ajili ya kuendeleza mradi wake 2.Mafunzo ya ndani na nje ya nchi baada ya shindano. 3.Kuunganishwa na wadau mbali mbali wa Kilimo yakiwemo makampuni ya ndani na nje ya nchi. 4.Tuzo za ushindi 5.Cheti cha mafanikio Vijana bora wanaojishughulisha na shughuli hizo wanaombwa kutuma maombi yao ya kushiriki kupitia 1.kujaza form kwenye link hii na kujaza form ya maombi ya kushiriki. 2. Kwa kuomba form kuijaza na kuituma kwa whatsapp kupitia number zifuatazo: 0754431449 0712265394 Au Kutuma kupitia email: info@transcendtz.com Maombi yatumwe kabla ya tarehe 20/8/2019 saa 12:00AM usiku. Kwa mawasiliano:0754431449 na 0712265394

Advertisement

At Quality Farm Supply, we strive to be “The Go-To Source for the Get-Go Farmer.” Whether you need parts for production agriculture, farm supplies, or tractor parts, our huge selection of over 30,000 SKUs includes all manner of tractor parts, combine parts, cotton harvesting parts, disc harrow blades and parts, planter parts, tillage parts, bearings, hydraulics and much more.